Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

Kikubwa performance ndio utakayompa nafasi. Football haidanganyi wala Haina ujanjaujanja
 
Yusuf Athumani yuko wapi?Alichukuliwa akiwa na form nzuri kabisa.Amecheza mechi ngapi za ligi?Baka amecheza mechi ngapi za ligi? Unajaribu kutoa ushauri kuhusu mchezaji ambaye hata mwezi mmoja hayafikisha tokea asajiliwe! Gongowazi at their best.
 
Dogo bora angeenda timu yoyote ndogo atakayoweza kupata namba ya uhakika lakini kwa pale simba kipaji chake kitapotea bure.
Lengo ni kucheza ili kufurahisha watu au kupata hela? Amejifunza kwa kaka yake Feisal. Hela kwanza, mambo ya kucheza ili kufurahisha watu yamepitwa na wakati.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom