Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nay.

Timu inapiga chenga na kucheza show game awaeleweki wanataka nini, Na nimewafatilia nimeona uwa wanaishia hatua za mwanzo kwenye mechi za kimataifa ni ngumu Sana kutoboa kwa timu ya aina hii.

Simba mmeshinda lakini hii timu haikuwa kipimo sahihi kwenu na kwa kuwaonyesha kuwa akikuwa kipimo sahihi subilini jumamosi mtakapocheza na wale waliofungwa juzi, Mapungufu yenu mtaonyeshwa jumamosi Kama nyie ni bora ama lah!
 
Yaani Kuna mbuzi
 

Attachments

  • IMG-20220808-WA0089.jpg
    IMG-20220808-WA0089.jpg
    26.5 KB · Views: 3
Kweli hiki ndio kipimo bora
Yanga 9–0 friends rangers
Yanga 5–1 transit camp
Yanga 2–0 namungo
Yanga 0–2 vipers

Hapo mtani mnaenda mpaka fainali halafu jifunze kuandika vizuri kwa kuacha nafasi ndo maana Morrison alisema mmekimbia umande.
 
Hahahhahahahah!pumbavuu mmoja iv baada ya pressure na kinyee kutaka kutoka anaanza kujiarishiam...kwan hyo team yenu iliishia wap mwaka janaaa?
 
Kuna katimu bongo kanapenda kujilinganisha na Simba na kutembelea nyota ya simba
 
Ila utopolo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwa hyo mlitaka na sisi tufungwe?
hata Kama SImba ni mbovu lakini sio Simba day.
 
Hawa waliofungwa juzi wanaishiaga hatua gani huko club bingwa?
 
Yaani we unapaswa uwe mbishani kwenye vijiwe vya kawaha mitaani uswahilini na si humu JF. You've not yet qualified even to talk about your utopolo team due to your thinking capacity
 
Kumbuka lengo la simba ni kushindana ktk club bingwa. Na hiyo timu ipo ktk CAF champions league. Kwahyo usiichukulie poa.

Anyways kabla sijaandika mengi hapa labda nikuulize mwenzetu unateseka ukiwa wapi? [emoji848]
Anateseka akiwa mtaa wa vyura bin matopeni
 
Back
Top Bottom