Simba msijidanganye

Mkuu, km huna taarifa usiongee.Sasa kama hata hujui hizo bilioni 20 ni za nini ,kwanini usikae tu kimya.
Kwa akili zako sijui maana ya HISA????? hivi utopolo mna shida gani... Uliza walionunua hisa za Voda wameambulia faida sh ngapi... Sasa kwa simba na mpira wa bongo uliojaa ushabiki kuliko mapato MO hizo hisaa ataishia kukaangia maandazi.. Hizo 51% sh ngapi zimewekwa Bank?!
 
Nasikia mnailala,ikia CAF ONLINE kwamba inawapost SIMBA PEKEE 😀 😀 😀
 
Mpumbavu katka ubora wako.kaa kimya ww siyo shabiki wa mpira na wala hujui kitu kuhusu mpira.
Kwahiyo kwa upeo wako mmiliki wa Man U hajulikani.Hili nalo ni ajabu la 8 la mshabiki wa mpira.
Akili za bora liende,mkuu kwa akili familia no unaiendeshaje,km unayo.Mkuu Kaa kimya wenye uelewa waongee.
 
Hujui chochote.
 
Pambana na hali mzee...!! Kwa akili yako MO anakosa Bil ishirinii???? Sasa jiulize why hatoi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui chochote.
 
Akili kubwa.Kongole.Ila sisi si mbumbumbu FC sisi ni mnyama mkali.Najua kimoyomoyo na hadharani unakiri na unajua huyu myama ni mkali.
 
Shida ya utopolo mnataka Simba tuanze kutembeza Bakuli kama nyie sema Tumeshtukaa mzee ndo maana Kigwangala jinga mwenzio kaambiwa afunge Domoo...[emoji16][emoji16]
 
Sababu yeye ni Mfanya biashara anajua Akitoa hataambulia faida yoyote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jibu umepata eehe??
Sasa kumbe ulikua unaropoka nini.Na alitamka hivyo kwamba hakosi b20 na tunajua anazo kwanini asitoe.
 
Hata mimi siwezi kuweka bilion 20 kwenye account za vilabu vya waswahili kizembe hivyo yaani ni lazima niwe na uhakika 100% wa itakavyorudi

Hebu ona hiki kituko
Mo akiweka bilion 20 means timu itajiendesha kwa pesa zake hizo na ikipata hasara Mo ndiye atakuwa kapata hasara maana wanachama wa Simba hawajanunua zile 51% za hisa zilizobaki kwa hivyo hata mimi siwezi kamwe kucheza kamali kwa kiwango hicho maana kuna vitu vya kuchezea sio pesa
 
Unayo hoja ya msingi.
Itafika siku atasema tayari nimetumia zaidi ya 20B!
Kimbembe kitaanzia hapo. Kwa sasa anatumia kadri anavyoona inafaa. Lakini angeweka kwenye club, angekosa sauti kubwa aliyonayo sasa hivi.
Mtego uko hapo.

Lakini ni mjanja maana ameweza kuwatia mfukoni akina Kaduguda, Bi. Hindu ns wengine.

Je wanachama wengine wa Simba wataweza kuweka billions nyingine ?
 
Hapo ndo balaa litaanzaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa akisema ameshazitoa zakeee na mmezilaa haya wekeni zenuu bhasii timu iendeee
 
Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
 
Kwa akili zako ndogo unadhana Mo aliingia Simba bila mikataba.kweli kuna watu mnawaza kwa kutumia makalio na wewe ni mmoja wao.
Akili za bora liende.duuh
 
Huwezi kuwa mwanasimba wewe.
Kwa taarifa yako hayo maajabu unayoyaona sasa ndo sehemu ya uwekezaji wa hizo 49% za Mo. WanaSimba tumeridhika.
 
Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
Mkuu either hujui.....au unadanganya makusudi.
Mchakato haupo hivyo unavyoaminisha watu.....
Nadhani pitia account ya Hashim Mbaga Instagram.....
Katoa maelekezo pale, Kuwapa ufahamu watu wasiojua...
 
Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
Hivi Simba imeboost biashara za Mo au Mo ndo ameboost biashara za Simba!!?
Kabla ya uwekezaji wa Mo unaweza kunikumbusha biashara nyingine Simba ilizoboost!? Tukubaliane tu kuwa Mo ni mkombozi wa Simba na tunamuhitaji zaidi ya anavyoihitaji Simba. Biashara ya soccer Tanzania haipo, ni kujitolea tu.
 
Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
Hivi wee jamaa ni mzima kweli???? Simba ndio bidhaa au kampuni sasa huwezi sema Hisa 51% ndo kampuni yenyewe na sio fedha halisi utakuwa unataniaa... Timu inabaki kama timu na mali zake ina maana leo hii MO asipotoa hela mtabaki na majengo tu???? Na ubaya hiko ndo kinachotokea kibongo bongo sasa MO sio falaaaa...
 
Mti anategemea MO atajilipa Kwa Viingilio vya mechi sijui au sh mil 100 za voda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni upuuzi wa hali ya juu kufikiri biashara ya soka ya bongo inaweza rudisha faida ukiweka mtaji wa Bil 20..
 
NaonaUyo mnaumia na 20B ya Mo.. Sidi mashabiki na wanachama wa Simba tunafurahia viwango vya timu yetu. Huyo Kigwa alitaka hela iwekwe kwenye account akaikope kinguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…