Kama hujui jambo lilivyo usilete pumba zako.Kigwangala ana hoja za msingi lakini km ubongo wako ni low kiasi hiki hukua na haja ya kuandika chochote, ungeshona bakuli lako.
Kwanza Mo ni mfanyabiashara,bepari,hakuna bepari anaewekeza mtaji wake bila matarajio ya faida tena faida kubwa.Mo hayuko Simba kwa hisani na wala Simba SC hatuhitaji fadhila kuendesha timu.
Tatu,km anaweza kutoa bilioni 3 kila mwaka anashindwa nini kutoa b20 anazodaiwa za hisa zake.Hizi bilion 3 anakuja kujilipaje au ndio janjajanja ya kutaka kusema badae nmetumia hela zangu nyingi so Simba SC hainidai.
Tatu,inawwzekan baadae Mo Aka sema niliikopesha Simba ,pale ambapo atatumia hela zake zikafikia kwa mfano zaidi ya bilioni 20 .Kwasababu mpaka sasa hivi haieleweki Mo anatoa hela za mishahara na gharama nyingine za kuendesha klabu kwa nakubaliana au mkataba gani.
Mo aweke hela zetu mezani ndio mambo mengine yaendelee kama kweli ni mwekezaji siriaz.