Simba msijidanganye

Simba msijidanganye

Mkuu, km huna taarifa usiongee.Sasa kama hata hujui hizo bilioni 20 ni za nini ,kwanini usikae tu kimya.
Kwa akili zako sijui maana ya HISA????? hivi utopolo mna shida gani... Uliza walionunua hisa za Voda wameambulia faida sh ngapi... Sasa kwa simba na mpira wa bongo uliojaa ushabiki kuliko mapato MO hizo hisaa ataishia kukaangia maandazi.. Hizo 51% sh ngapi zimewekwa Bank?!
 
Nasikia mnailala,ikia CAF ONLINE kwamba inawapost SIMBA PEKEE 😀 😀 😀
 
Sasa akisema hivyo wewe nini kinakuwasha?Au ninyi ndio mnaushi kwa mapato ya Simba?

Leo watu wanashabikia Manchester na hawajui inamikikiwa na nani!
Kama huwezi endesha timu unadai nini kutoka timu hiyo?Au unataka ufe nayo na umaskini wako wa mali na akili ukidhani ndio ushujaa?
Mpumbavu katka ubora wako.kaa kimya ww siyo shabiki wa mpira na wala hujui kitu kuhusu mpira.
Kwahiyo kwa upeo wako mmiliki wa Man U hajulikani.Hili nalo ni ajabu la 8 la mshabiki wa mpira.
Akili za bora liende,mkuu kwa akili familia no unaiendeshaje,km unayo.Mkuu Kaa kimya wenye uelewa waongee.
 
Kwa akili zako sijui maana ya HISA????? hivi utopolo mna shida gani... Uliza walionunua hisa za Voda wameambulia faida sh ngapi... Sasa kwa simba na mpira wa bongo uliojaa ushabiki kuliko mapato MO hizo hisaa ataishia kukaangia maandazi.. Hizo 51% sh ngapi zimewekwa Bank?!
Hujui chochote.
 
Kama mkataba unasema aweke b20 baada ya mchakato wa mabadiliko kukamilika basi me Naona hakuna tatizo.
Vinginevyo wanachama wana haki ya kudai kujua hizo anazotoa b3 kila mwaka ni kwa mapenzi yake au atazidai baadaye hapo ndo mtajua kuwa nyie ni mbumbumbu fc maana mtajikuta mnadaiwa zaidi ya b20
Akili kubwa.Kongole.Ila sisi si mbumbumbu FC sisi ni mnyama mkali.Najua kimoyomoyo na hadharani unakiri na unajua huyu myama ni mkali.
 
Mpumbavu katka ubora wako.kaa kimya ww siyo shabiki wa mpira na wala hujui kitu kuhusu mpira.
Kwahiyo kwa upeo wako mmiliki wa Man U hajulikani.Hili nalo ni ajabu la 8 la mshabiki wa mpira.
Akili za bora liende,mkuu kwa akili familia no unaiendeshaje,km unayo.Mkuu Kaa kimya wenye uelewa waongee.
Shida ya utopolo mnataka Simba tuanze kutembeza Bakuli kama nyie sema Tumeshtukaa mzee ndo maana Kigwangala jinga mwenzio kaambiwa afunge Domoo...[emoji16][emoji16]
 
Sababu yeye ni Mfanya biashara anajua Akitoa hataambulia faida yoyote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jibu umepata eehe??
Sasa kumbe ulikua unaropoka nini.Na alitamka hivyo kwamba hakosi b20 na tunajua anazo kwanini asitoe.
 
Hata mimi siwezi kuweka bilion 20 kwenye account za vilabu vya waswahili kizembe hivyo yaani ni lazima niwe na uhakika 100% wa itakavyorudi

Hebu ona hiki kituko
Mo akiweka bilion 20 means timu itajiendesha kwa pesa zake hizo na ikipata hasara Mo ndiye atakuwa kapata hasara maana wanachama wa Simba hawajanunua zile 51% za hisa zilizobaki kwa hivyo hata mimi siwezi kamwe kucheza kamali kwa kiwango hicho maana kuna vitu vya kuchezea sio pesa
 
Kama hujui jambo lilivyo usilete pumba zako.Kigwangala ana hoja za msingi lakini km ubongo wako ni low kiasi hiki hukua na haja ya kuandika chochote, ungeshona bakuli lako.
Kwanza Mo ni mfanyabiashara,bepari,hakuna bepari anaewekeza mtaji wake bila matarajio ya faida tena faida kubwa.Mo hayuko Simba kwa hisani na wala Simba SC hatuhitaji fadhila kuendesha timu.
Tatu,km anaweza kutoa bilioni 3 kila mwaka anashindwa nini kutoa b20 anazodaiwa za hisa zake.Hizi bilion 3 anakuja kujilipaje au ndio janjajanja ya kutaka kusema badae nmetumia hela zangu nyingi so Simba SC hainidai.
Tatu,inawwzekan baadae Mo Aka sema niliikopesha Simba ,pale ambapo atatumia hela zake zikafikia kwa mfano zaidi ya bilioni 20 .Kwasababu mpaka sasa hivi haieleweki Mo anatoa hela za mishahara na gharama nyingine za kuendesha klabu kwa nakubaliana au mkataba gani.
Mo aweke hela zetu mezani ndio mambo mengine yaendelee kama kweli ni mwekezaji siriaz.
Unayo hoja ya msingi.
Itafika siku atasema tayari nimetumia zaidi ya 20B!
Kimbembe kitaanzia hapo. Kwa sasa anatumia kadri anavyoona inafaa. Lakini angeweka kwenye club, angekosa sauti kubwa aliyonayo sasa hivi.
Mtego uko hapo.

Lakini ni mjanja maana ameweza kuwatia mfukoni akina Kaduguda, Bi. Hindu ns wengine.

Je wanachama wengine wa Simba wataweza kuweka billions nyingine ?
 
Hapo ndo balaa litaanzaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa akisema ameshazitoa zakeee na mmezilaa haya wekeni zenuu bhasii timu iendeee
 
Unayo hoja ya msingi.
Itafika siku atasema tayari nimetumia zaidi ya 20B!
Kimbembe kitaanzia hapo. Kwa sasa anatumia kadri anavyoona inafaa. Lakini angeweka kwenye club, angekosa sauti kubwa aliyonayo sasa hivi.
Mtego uko hapo.

Lakini ni mjanja maana ameweza kuwatia mfukoni akina Kaduguda, Bi. Hindu ns wengine.

Je wanachama wengine wa Simba wataweza kuweka billions nyingine ?
Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
 
Hizo Sheria zenu za ajabu ndiyo zinaleta njaa na mabakuli, dunia ya Sasa Mpira Ni ajira za watu hawapo kuwafanya ninyi mkenue meno huku familia zao zikitaabika,

Soka la Sasa linataka pesa za uhakika na siyo kuleta Mambo ya ushirika ( umiliki wa umma), akitoka Mo akina Kagere hawatakuwepo Tena, jina la Simba litabaki ila itakuwa Simba asiye Kama alivyo Sasa!

Toeni ujuaji wa kijinga na visheria vya ajabu, Mimi nahitaji burudani na siyo kuimiliki Simba SC, hata angechuku hisa zote Mo ilimradi tu Simba Ina paa kimichezo kwangu si tatizo.
Kwa akili zako ndogo unadhana Mo aliingia Simba bila mikataba.kweli kuna watu mnawaza kwa kutumia makalio na wewe ni mmoja wao.
Akili za bora liende.duuh
 
Kama hujui jambo lilivyo usilete pumba zako.Kigwangala ana hoja za msingi lakini km ubongo wako ni low kiasi hiki hukua na haja ya kuandika chochote, ungeshona bakuli lako.
Kwanza Mo ni mfanyabiashara,bepari,hakuna bepari anaewekeza mtaji wake bila matarajio ya faida tena faida kubwa.Mo hayuko Simba kwa hisani na wala Simba SC hatuhitaji fadhila kuendesha timu.
Tatu,km anaweza kutoa bilioni 3 kila mwaka anashindwa nini kutoa b20 anazodaiwa za hisa zake.Hizi bilion 3 anakuja kujilipaje au ndio janjajanja ya kutaka kusema badae nmetumia hela zangu nyingi so Simba SC hainidai.
Tatu,inawwzekan baadae Mo Aka sema niliikopesha Simba ,pale ambapo atatumia hela zake zikafikia kwa mfano zaidi ya bilioni 20 .Kwasababu mpaka sasa hivi haieleweki Mo anatoa hela za mishahara na gharama nyingine za kuendesha klabu kwa nakubaliana au mkataba gani.
Mo aweke hela zetu mezani ndio mambo mengine yaendelee kama kweli ni mwekezaji siriaz.
Huwezi kuwa mwanasimba wewe.
Kwa taarifa yako hayo maajabu unayoyaona sasa ndo sehemu ya uwekezaji wa hizo 49% za Mo. WanaSimba tumeridhika.
 
Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
Mkuu either hujui.....au unadanganya makusudi.
Mchakato haupo hivyo unavyoaminisha watu.....
Nadhani pitia account ya Hashim Mbaga Instagram.....
Katoa maelekezo pale, Kuwapa ufahamu watu wasiojua...
 
Mali za Simba ndiyo hyo 51% na taarifa ni kwamba Simba imebusti sana biashara za Mo kutokana na matangazo kupitia Simba Sc
Hivi Simba imeboost biashara za Mo au Mo ndo ameboost biashara za Simba!!?
Kabla ya uwekezaji wa Mo unaweza kunikumbusha biashara nyingine Simba ilizoboost!? Tukubaliane tu kuwa Mo ni mkombozi wa Simba na tunamuhitaji zaidi ya anavyoihitaji Simba. Biashara ya soccer Tanzania haipo, ni kujitolea tu.
 
Hivi wee jamaa ni mzima kweli???? Simba ndio bidhaa au kampuni sasa huwezi sema Hisa 51% ndo kampuni yenyewe na sio fedha halisi utakuwa unataniaa... Timu inabaki kama timu na mali zake ina maana leo hii MO asipotoa hela mtabaki na majengo tu???? Na ubaya hiko ndo kinachotokea kibongo bongo sasa MO sio falaaaa...
 
Hivi Simba imeboost biashara za Mo au Mo ndo ameboost biashara za Simba!!?
Kabla ya uwekezaji wa Mo unaweza kunikumbusha biashara nyingine Simba ilizoboost!? Tukubaliane tu kuwa Mo ni mkombozi wa Simba na tunamuhitaji zaidi ya anavyoihitaji Simba. Biashara ya soccer Tanzania haipo, ni kujitolea tu.
Mti anategemea MO atajilipa Kwa Viingilio vya mechi sijui au sh mil 100 za voda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni upuuzi wa hali ya juu kufikiri biashara ya soka ya bongo inaweza rudisha faida ukiweka mtaji wa Bil 20..
 
NaonaUyo mnaumia na 20B ya Mo.. Sidi mashabiki na wanachama wa Simba tunafurahia viwango vya timu yetu. Huyo Kigwa alitaka hela iwekwe kwenye account akaikope kinguvu.
 
Back
Top Bottom