Simba msijisahau na kuendelea kusherehekea kuingia nusu,mkasahau kujiandaa na yajayo

Simba msijisahau na kuendelea kusherehekea kuingia nusu,mkasahau kujiandaa na yajayo

Jamaa kachangia hoja bila hata ya kujua kinachoendelea🤣🤣Dunia ina mambo.
Hahaha yaani nikaona nisimkejeri bali nimshauri na kumpa directives tu alafu mbaya zaidi anang'ang'ania msimamo wake 😂😂
 
Kwanza umeonesha kabisa wewe mpira haufuatilii, pili hujasoma bandiko la mleta mada zaidi ya kukoment tu! Jenga tabia ya kusoma kitu kwanza na kukidadavua then utoe maoni yako. Haya some mtoa mada hapo nimemquote
"Kumbukeni Kila timu inapoingia hatua za juu kama hii, shauku na umakoni huongezeka, kwa Hali hiyo hata Stollenbosch nao wataongeza shauku na umakoni ili kutushinda sisi.

Bahati pekee tuliyonayo ni kwamba safari hii hatukutani na timu za Misri,timu ya Misri hata kama ikiwa dhaifu lakini wanapofika hatua hii hutumia Kila njia Kila hila kufuzu.

Ikumbukwe pia kua,Zamalek Wana hasira na Simba, kwa sababu Simba ilishawavua ubingwa na kuwatoa mashindanoni."
Umelewa sasa?
Dah Asante kiongozi kwa kumfafanulia na kumfundisha vizuri Nyuma mwiko.
Maana Hawa wenzetu ni wagumu kuelewa na wepesi kusahau.
Huyu jamaa ni wazi hajui chochote juu ya hatua aliyofika Simba Kwa Sasa.
 
Hahaha yaani nikaona nisimkejeri bali nimshauri na kumpa directives tu alafu mbaya zaidi anang'ang'ania msimamo wake 😂😂
Dah ila wewe jamaa una busara sana,mie nilishajua huyo ama kalewa ama hayuko sawa,ama mvurugaji TU.
 
Back
Top Bottom