Hahaha yaani nikaona nisimkejeri bali nimshauri na kumpa directives tu alafu mbaya zaidi anang'ang'ania msimamo wake 😂😂Jamaa kachangia hoja bila hata ya kujua kinachoendelea🤣🤣Dunia ina mambo.
Km kawaida yangu the God's must be Crazy lazima nirukwe na ban Simba anakufa 3 subiri uone nimeshusha uzi
Hawawezi kufa wako na Mtumishi wa Mungu.Zamalek hacheki na kima lazima mfe 3
Kifungwa tai ama?Simba anaenda kufungwa tenki
Trei za mayaiKifungwa tai ama?
Dah Asante kiongozi kwa kumfafanulia na kumfundisha vizuri Nyuma mwiko.Kwanza umeonesha kabisa wewe mpira haufuatilii, pili hujasoma bandiko la mleta mada zaidi ya kukoment tu! Jenga tabia ya kusoma kitu kwanza na kukidadavua then utoe maoni yako. Haya some mtoa mada hapo nimemquote
"Kumbukeni Kila timu inapoingia hatua za juu kama hii, shauku na umakoni huongezeka, kwa Hali hiyo hata Stollenbosch nao wataongeza shauku na umakoni ili kutushinda sisi.
Bahati pekee tuliyonayo ni kwamba safari hii hatukutani na timu za Misri,timu ya Misri hata kama ikiwa dhaifu lakini wanapofika hatua hii hutumia Kila njia Kila hila kufuzu.
Ikumbukwe pia kua,Zamalek Wana hasira na Simba, kwa sababu Simba ilishawavua ubingwa na kuwatoa mashindanoni."
Umelewa sasa?
Ha ha haa!Makolokolo Kungwi Mwandamizi si tulikubaliana yeyote anayeshabikia Simba na Yanga ni Mpumbavu kiwango cha SGR, mbona kila uzi wa hizo timu wewe ndiwe ki-front front kuchanganua hoja?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ha ha haaJamaa kachangia hoja bila hata ya kujua kinachoendelea🤣🤣Dunia ina mambo.
Dah ila wewe jamaa una busara sana,mie nilishajua huyo ama kalewa ama hayuko sawa,ama mvurugaji TU.Hahaha yaani nikaona nisimkejeri bali nimshauri na kumpa directives tu alafu mbaya zaidi anang'ang'ania msimamo wake 😂😂
Huyu nae alikuwa jela?Au ndio leo kazinduka kwenye coma?Zamalek hacheki na kima lazima mfe 3