Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Sipingi hilo..namwangalia azam hapa nae ni takataka tu.
Simba anaweza kuchukua ubingwa zikiwa zimebaki game 6 ligi kuisha
Simba anaweza kuchukua ubingwa zikiwa zimebaki game 6 ligi kuisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 ila mi nimebisha kwa kweli. Makombe yote mchukue nyie labda yale Makombe ya chai. 🙈🙈🙈🙈Hahahha kweli dada mimi siwezi kumbishia ukweli alioongea
Ndio ndio Muda utaongea Dada. 💃💃[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuachee na time will tell yako dada
Story za aje Barcelona anapigwa.Hapa hakuna visingizio vya mechi za kimataifa, Simba wako huru zaidi na nimjuavyo Simba akijeruhiwa humrarua kila anayesogeza pua yake.
Timu ni zile zile mnazozipiga 2, 3 au 5 mtakazokutana nazo Kwa ligi mbalimbali, hivyo hakuna haja ya kufungwa. Nategemea mtachukua VPL, Kagame, Kombe la Mapinduzi, Federation Cup, Sportpesa n.k.
Kila la kheri mnyamaView attachment 1222013
Kina Green Warriors!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mi nimebisha kwa kweli. Makombe yote mchukue nyie labda yale Makombe ya chai. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Maana kama FA huwa munatolewa na watoto wa Chekechea kina Mashujaa.