Simba msimu huu chukueni makombe yote

Simba msimu huu chukueni makombe yote

Sipingi hilo..namwangalia azam hapa nae ni takataka tu.

Simba anaweza kuchukua ubingwa zikiwa zimebaki game 6 ligi kuisha
 
Hahahha kweli dada mimi siwezi kumbishia ukweli alioongea
🤣🤣🤣🤣 ila mi nimebisha kwa kweli. Makombe yote mchukue nyie labda yale Makombe ya chai. 🙈🙈🙈🙈

Maana kama FA huwa munatolewa na watoto wa Chekechea kina Mashujaa.
 
Hapa hakuna visingizio vya mechi za kimataifa, Simba wako huru zaidi na nimjuavyo Simba akijeruhiwa humrarua kila anayesogeza pua yake.

Timu ni zile zile mnazozipiga 2, 3 au 5 mtakazokutana nazo Kwa ligi mbalimbali, hivyo hakuna haja ya kufungwa. Nategemea mtachukua VPL, Kagame, Kombe la Mapinduzi, Federation Cup, Sportpesa n.k.

Kila la kheri mnyamaView attachment 1222013
Story za aje Barcelona anapigwa.
Usajili wa Wabrazil wacheze na Ndanda.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mi nimebisha kwa kweli. Makombe yote mchukue nyie labda yale Makombe ya chai. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Maana kama FA huwa munatolewa na watoto wa Chekechea kina Mashujaa.
Kina Green Warriors!!!
 
Back
Top Bottom