Simba msimu huu chukueni makombe yote

Sipingi hilo..namwangalia azam hapa nae ni takataka tu.

Simba anaweza kuchukua ubingwa zikiwa zimebaki game 6 ligi kuisha
 
Hahahha kweli dada mimi siwezi kumbishia ukweli alioongea
🀣🀣🀣🀣 ila mi nimebisha kwa kweli. Makombe yote mchukue nyie labda yale Makombe ya chai. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Maana kama FA huwa munatolewa na watoto wa Chekechea kina Mashujaa.
 
Story za aje Barcelona anapigwa.
Usajili wa Wabrazil wacheze na Ndanda.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mi nimebisha kwa kweli. Makombe yote mchukue nyie labda yale Makombe ya chai. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Maana kama FA huwa munatolewa na watoto wa Chekechea kina Mashujaa.
Kina Green Warriors!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…