Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Unaaambiwa Jtano tujitokeze kwawingiiiiiiiiiiHakunaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaaambiwa Jtano tujitokeze kwawingiiiiiiiiiiHakunaaaaaaa
Umeonaaeeeee...SIMBA baba lao.Acha waseme ila simba mbele kwa mbele
Tena asubuhi tu...mapema tu.Unaaambiwa Jtano tujitokeze kwawingiiiiiiiiii
Mpigie hesabu hizohizo anayekufukuza ,halafu endelea na mwendo huo huo uone.Hakuna kutetemeka mkuu.Game tano za raundi ya kwanza tulivuna pointi 11 na magoli 14; raundi ya pili game tano tumevuna pointi 11 na magoli 14.
Tofauti ipo kwenye magoli tuliyoruhusu; raundi ya kwanza magoli 3 na raundi ya pili magoli 5.
Bado tuna nguvu mkuu.
Mungu ibariki simba yetu asante mkuu
[emoji357] [emoji357] [emoji357]Mungu ibariki Mikia SC a.k.a wa Matopeni wazidi kutoa droo kila mechi wachezayo..
AminaH
[emoji357] [emoji357] [emoji357]Naona leo bwana Mapua unaongea kwa Upole... Kweli Mikia wote tumbo joto kudadeki..
Subirini kipigo cha Al maliky mzidi kuvurugwa zaidi...
Kuwaangamiza maadui zetu.Tuko pamoja
Kiini cha uzi huu kiko bayana mkuuMpigie hesabu hizohizo anayekufukuza ,halafu endelea na mwendo huo huo uone.
Kiko bayana kweli lkn naswali moja kwako Pongezi za Mzee Akilimali ni kwa Simba tu na kwa Yanga atawaambia nn?Kiini cha uzi huu kiko bayana mkuu
Haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaa dah.. nimecheka sana eti leo hii akilimali anaujua mpr!Leo unamwona mzee Akilimali kama mtu anayeujua mpira?
Yeye ndiye mwenye kuthubutu kuwaambia Yanga ukweli.Hata akiyasema haya, najua atakuwa amemaanisha.Kiko bayana kweli lkn naswali moja kwako Pongezi za Mzee Akilimali ni kwa Simba tu na kwa Yanga atawaambia nn?
MtazamoNaona umejaa pressure na kisuñunu kiona yanga anakunyapia