Simba msisikilize kelele za majirani zetu

Simba msisikilize kelele za majirani zetu

Hakuna kutetemeka mkuu.Game tano za raundi ya kwanza tulivuna pointi 11 na magoli 14; raundi ya pili game tano tumevuna pointi 11 na magoli 14.
Tofauti ipo kwenye magoli tuliyoruhusu; raundi ya kwanza magoli 3 na raundi ya pili magoli 5.
Bado tuna nguvu mkuu.
Mpigie hesabu hizohizo anayekufukuza ,halafu endelea na mwendo huo huo uone.
 
Naona leo bwana Mapua unaongea kwa Upole... Kweli Mikia wote tumbo joto kudadeki..
Subirini kipigo cha Al maliky mzidi kuvurugwa zaidi...
 
EDO Kumwembe alisema Yanga wanaume Simba wavulana Mapovu yakawatoka...sitashangaa kuona Mkomola akivaa medali ya VPL kabla ya Kichuya
 
Mwenye kombe la VPL lake katulia tu mdogo mdogo anaenda chukua mikia mlijitangazia ubingwa mpema wakati ligi bado naa mjua ubovu wa timu yenu
 
Kiko bayana kweli lkn naswali moja kwako Pongezi za Mzee Akilimali ni kwa Simba tu na kwa Yanga atawaambia nn?
Yeye ndiye mwenye kuthubutu kuwaambia Yanga ukweli.Hata akiyasema haya, najua atakuwa amemaanisha.
 
Back
Top Bottom