lazima wamtafute ili wapate kisingizio wakishuka daraja mwisho wa msimuHakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya kutafuta mwalimu mpya sasa badala yake watumieni Cadena, Matola, Mgunda na Julio kwa pamoja hadi mwisho wa msimu, mtaona maajabu ambayo hamkuyatarajia. Bila Simba tamu hakuna Yanga tamu.
Ni mhemuko tu kumtimua kocha kipindi hiki. Kocha kaonekana hajui na timu inacheza vizuri kwakuwa tu Yanga inacheza vizuri baaasi!! Kama yanga isingekuwa inacheza vizuri simba ingeonekana inacheza vizuri.lazima wamtafute ili wapate kisingizio wakishuka daraja mwisho wa msimu
Ndio fani yenye wataalamu wengi na wachambuzi wengi😂😂, kila mtu mchambuziShida yetu wabongo tunaujua Sana mpira wa Miguu,,tuna uchambua na kuuchamba Haswa!!
mabadiliko katika soka na siasa za tanzania huchochewa zaid na hisia, mihemko na ghadhabu baada ya kuboronga. Tunakua na kupiga hatua, ila kwa mwendo wa polepole sanaNi mhemuko tu kumtimua kocha kipindi hiki. Kocha kaonekana hajui na timu inacheza vizuri kwakuwa tu Yanga inacheza vizuri baaasi!! Kama yanga isingekuwa inacheza vizuri simba ingeonekana inacheza vizuri.