Simba msiwapotoshe mashabiki wenu tuweke rekodi sawa, kataa uongo

@Dr Matola PhD hiyo PhD ya ujinga?????
 
uongo huu
 
Amepata mfuasi! Hata Manara aliposema hakuna timu ya Tanzania iliyowahi kuongoza kundi vilabu vya Afrika kwa kufikisha alama 13, alipata pia wafuasi [emoji16]
Yakijazwa yanajaaga kama manyumbu?????

Nyumbu sc[emoji1787][emoji1787]
 
Matahira humu Ni mengi Sana lakini wewe ndio boss wao. Simba 1993 walifika fainali ya kombe la CAF. Wakiwa na akina Mohamedi mwameja, Malota Soma, Edward Chumila akiwa mfungaji Bora na waliwatoa waarabu wawili njiani humo
 
Nikuulize swali Aston villa ana UEFA champions league au Hana Hilo jibu litatosha Mimi kukuamini wewe au kujua Nini unamaanisha????
 
Usituletee ujinga hapa. Simba ilifika nusu fainali 1974
 
Matahira humu Ni mengi Sana lakini wewe ndio boss wao. Simba 1993 walifika fainali ya kombe la CAF. Wakiwa na akina Mohamedi mwameja, Malota Soma, Edward Chumila akiwa mfungaji Bora na waliwatoa waarabu wawili njiani humo
Omondii, lilikuwa ni bonanza la Mashood Abiola lililosimamiwa na CAF.
 
CAF cup of champions Semi fainal 1974

Simba vs Ghazl Mehalla

Leo Ndiyo CAFCL.
Au jina likibadilika Basi na historia inakufa.
 
Wikipedia haitambuliki kwenye research studies. Lete source ingine kama CAF website etc

Haya ni maandalizi ya wanasimba kujiweka sawa na kujifariji kwa kuiponda Yanga baada ya kutolewa CAF champions league mnamo ijumaa hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…