Simba mtakachoambulia kwenye Super League ni zile b.5 mlizopewa za maandalizi vinginevyo hamna chenu mbele ya Al Ahly

Simba mtakachoambulia kwenye Super League ni zile b.5 mlizopewa za maandalizi vinginevyo hamna chenu mbele ya Al Ahly

Majok majok

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
783
Reaction score
2,057
Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri!

Kiufupi ni kwamba mwendo mmeumaliza mechi ya kwanza tu out! Itakuwa ni asante kwa kushiriki, labda walale wanaloga uwanja mpaka asubuhi na bado mtapigwa tu!

Nimesikia mashabiki wao wanasema ni mechi ya miksoni kwa mara nyingine atawafunga sasa sijui ni miksoni yupi uyo yule wa mwaka 2021 au uyu aliyebaki jina tu aliyesajiliwa kufurahisha genge?

Povu ni ruksa kwa wafia timu but ukweli utabaki umesimama daima Simba hii aina timu ya kuisumbua Al ahly iwe kwa mkapa ama kokote pale kwa kiwango walichonacho na mapungufu mengi ya kiufundi waliyonayo!
 
Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri!
Povu la nini kijana, Simba yupo na wakubwa wenzie, Yanga na akina JKT. Kila mtu ajadili ligi yake 😁

1693674086428.png
 
Povu la nini kijana, Simba yupo na wakubwa wenzie, Yanga na akina JKT. Kila mtu ajadili ligi yake 😁

View attachment 2736940
Ligi yako uko nafasi ya ngapi? Unatuletea habari za kipindi cha korona hapa, kwa sasa akuna korona utapata stahiki yako ipasavyo iwe ligi kuu, iwe klabu bingwa, kokote uko utapimwa perfomance yako ikoje kwa sasa na sio vinginevyo, kama huo msimamo utakuokoa basi copy na kupaste kwa kina kibu denis mkaongoze tena makundi tuone!
 
Back
Top Bottom