Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hivi mashabiki wa utopolo mnashiriki mjadala kwenye nyuzi zinazohusu African Football League kama nani? Timu yenu haimo, hampaswi kushiriki mijadala. Yaani shabiki wa utopolo hata ukianzisha uzi kuhusu African Football League hupaswi kurudi tena kuchangia, topic inakuwa closed kwako, unawaachia wenye mashindano yaoLigi yako uko nafasi ya ngapi? Unatuletea habari za kipindi cha korona hapa, kwa sasa akuna korona utapata stahiki yako ipasavyo iwe ligi kuu, iwe klabu bingwa, kokote uko utapimwa perfomance yako ikoje kwa sasa na sio vinginevyo, kama huo msimamo utakuokoa basi copy na kupaste kwa kina kibu denis mkaongoze tena makundi tuone!