Simba mtakachoambulia kwenye Super League ni zile b.5 mlizopewa za maandalizi vinginevyo hamna chenu mbele ya Al Ahly

Hivi mashabiki wa utopolo mnashiriki mjadala kwenye nyuzi zinazohusu African Football League kama nani? Timu yenu haimo, hampaswi kushiriki mijadala. Yaani shabiki wa utopolo hata ukianzisha uzi kuhusu African Football League hupaswi kurudi tena kuchangia, topic inakuwa closed kwako, unawaachia wenye mashindano yao
 
Bil 5 au USD 1m (2.4 B Tsh) ,maana timu zote zimepewa USD 1m kwa ajili ya maandalizi na bingwa atachukua USD 11m
 
Ata iyo buku ukupewa, ndiyo maana ikaitwa ngao ya hisani, pesa yote inaelekezwa kwenye jamii, uwezi kujitapa eti umebeba ngao ya jamii wakati wenzako wanahesabu makombe rasmi ambayo ni ligi kuu, na FA ayo ndiyo makombe rasmi kama nyie ni wanaume kabebeni ligi tuone kama mtaweza
 
Duuh! Leo hii yanga hawahesabu ngao ya jamii! Basi sawa
 
Bil 5 au USD 1m (2.4 B Tsh) ,maana timu zote zimepewa USD 1m kwa ajili ya maandalizi na bingwa atachukua USD 11m
Kumbe ata iyo b.5 waliyosema wamepewa ya maandalizi nayo waliongeza tarakimu kama kawaida yao, awa watu watafika mbinguni wamechoka sana, wako vizuri kwenye propaganda uchwara
 
Wenye mashindano ni timu kama Aly ahly sio iyo timu yako, wewe kazi yako unakwenda kuchekesha walionuna na sio kushindana mtani!
 
Game 2 unachukua 2.4b hata ukifugwa goal 20 bado ni biashara nzuri.
 
Hapo muhimu ni biashara kubwa iliyofanyika. Jaribu kufikiria, unapewa viti maalum na bilioni 5 juu. Bado hawajajitokeza wadhamani watakaokudhamini kwenye hizo mechi mbili za home and away.
 
Kwenye hizo 5b Mo anadai 3b
 
Exactly uko sahihi, lengo la haya mashindano ni kuinua kipato kwa vilabu sio kutangaza ukubwa maana wote ni wakubwa tayari, kumbuka zalan na asas hawapo

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna aibu taifa inaenda kulipata...kuna timu inaenda kupasuliwa kimadharau
 
tukiwa wakweli,siwakatishi tamaa ila sima ya mwaka huu usajili wake sio wa kutegemea kitu cha maana sana. ila kwa yanga, watafika mbali mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…