Simba mtakachoambulia kwenye Super League ni zile b.5 mlizopewa za maandalizi vinginevyo hamna chenu mbele ya Al Ahly

Kile unachokiandika hapa ni MATOKEO ya Akili yako, mawazo yako na Maisha yako kwa ujumla.

Ukiandika mambo Mabaya Kila wakati MATOKEO yake ni kuwa CHUKI IMEKUWA Rohoni.

Ukiandika UJINGA ni kwamba UPUMBAVU umefurika KICHWANI MWAKO.
 
Tabia za wabongo bwana. Negativity kwenda mbele.
 
Simba hii kwetu wala haijakuja kama surprise tulijua tunacheza The African League na lazima tutacheza na timu zenye hadhi ya Al Ahly na ni lazima tuzitoe hizo ili kusimika ukubwa wetu barani Africa
Huku kwenye The African League usitegemee kucheza na Asas ya Djibout ama Mlandege ya Zanzibar huku ni magiant haswaa na sisi ni kati yao
 
Bil 5 au USD 1m (2.4 B Tsh) ,maana timu zote zimepewa USD 1m kwa ajili ya maandalizi na bingwa atachukua USD 11m
Hivyo viwango mnatoa wapi??

Kiuhalisia, hiyo league siyo Tena Super league ndio maana inaitwa African Football League.


CAF championship inabaki kuwa league kubwa.


Mshindi wa AFL atapata $2.5M.


Runner-up ni $2M.


Washiriki ni $700,000.
 
Participation ni dola 700,000 tu si vinginevyo.
 
Sawa dada. Unateseka na mangap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…