The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kwa sababu siasa hasa za kupinga ukoloni ilikuwa marufuku na very risk...i hope Nyerere hakuchukizwa na hilo 'kosa' la Sita.
Kuhusu hiyo historia ya Simba.
Huyo Mzee alinisimulia kuwa, Yanga ilikuwa timu ya wanaTAA. Serikali ya mkoloni ilianzisha Sunderland Sports Club ku-counter Yanga.
Watu walioshabikia Simba Wengi walikuwa hawataki siasa....
Yanga since ilikuwa ina wenyeji Wengi walikubali kutumika kama sehemu ya harakati za uhuru....ilikuwa watu wanajifanya wanazungumza habari za Yanga kumbe kuna mipango ya Tanu pia inafanyika