Simba muwekeni kwenye eneo lenu la Makumbusho Athuman Mlenda, shabiki wenu aliyejiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la maji moto mwaka 1975

Simba muwekeni kwenye eneo lenu la Makumbusho Athuman Mlenda, shabiki wenu aliyejiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la maji moto mwaka 1975

i hope Nyerere hakuchukizwa na hilo 'kosa' la Sita.

Kuhusu hiyo historia ya Simba.

Huyo Mzee alinisimulia kuwa, Yanga ilikuwa timu ya wanaTAA. Serikali ya mkoloni ilianzisha Sunderland Sports Club ku-counter Yanga.
Kwa sababu siasa hasa za kupinga ukoloni ilikuwa marufuku na very risk...
Watu walioshabikia Simba Wengi walikuwa hawataki siasa....
Yanga since ilikuwa ina wenyeji Wengi walikubali kutumika kama sehemu ya harakati za uhuru....ilikuwa watu wanajifanya wanazungumza habari za Yanga kumbe kuna mipango ya Tanu pia inafanyika
 
Vipi kuliweka hilo tukio kwenye eneo la makumbusho?

Kwanza umekubali kua kujiua ni kosa la jinai?
Mkwawa alijua na yuko kwenye Makumbusho.

Ni kweli kujiua ni kosa la jinai, lakini halina mantiki upande mwingine. Unamshitaki nani?

Ni kama Mapinduzi, yakifail ndio washtakiwa wanapatikana, yakifanikiwa nani wa kushtakiwa?

So ukifanikiwa kujiua kosa limekufa. Hahaha. Najaribu kuwaza tu!
 
Ni kweli kulikuwa na mkono wa mkoloni kwenye hii club?
Sijawahi Ku confirm hili.. inawezekana uzushi Tu......ila wakati wa mkoloni..wahindi na waraabu walikuwa na status kama second citizens baada ya Mzungu... waswahili third citizens... kwahiyo Simba ilikuwa ndo timu ya wahindi na waarabu mjini pia ...labda Hilo ndo lilifanya watu waone hivyo...
 
Enzi za Nyerere ...Sitta alikuwa waziri wa ujenzi...walikuwaga na wageni wengi wanalipwa na wizara kwenye miradi ya ujenzi....Sitta akampachika kocha wa Simba
Ila Sitta alikuwa mpigaji sana.
 
Back
Top Bottom