Kwa sababu siasa hasa za kupinga ukoloni ilikuwa marufuku na very risk...
Watu walioshabikia Simba Wengi walikuwa hawataki siasa....
Yanga since ilikuwa ina wenyeji Wengi walikubali kutumika kama sehemu ya harakati za uhuru....ilikuwa watu wanajifanya wanazungumza habari za Yanga kumbe kuna mipango ya Tanu pia inafanyika
Sijawahi Ku confirm hili.. inawezekana uzushi Tu......ila wakati wa mkoloni..wahindi na waraabu walikuwa na status kama second citizens baada ya Mzungu... waswahili third citizens... kwahiyo Simba ilikuwa ndo timu ya wahindi na waarabu mjini pia ...labda Hilo ndo lilifanya watu waone hivyo...
Enzi za Nyerere ...Sitta alikuwa waziri wa ujenzi...walikuwaga na wageni wengi wanalipwa na wizara kwenye miradi ya ujenzi....Sitta akampachika kocha wa Simba