Simba na hii leta mzungu yao imekuwa kero sasa

Hapo pa BlackBerry umenikumbusha mbali sana.Wakati huo zinauzwa aghali na kwa mara ya kwanza napewa ofisini nilikuwa nikipokea simu mbele za watu wananiona wa maana sana maana natumia simu pendwa aliyokuwa akitumia pia Barack Obama kumbe ilikuwa kwa hisani ya Boss Kaburu .Huwa sielewi ilikuwaje soko lake likafa gafla kiasi kile.
 
2009, 2010 blackberry bold then tulikuwa na nokia 6070 ina infrared tunaunganisha na desktop chogo tuna surf kwa desktop
Bila kusahau Nokia N Series nadhani zile zilikuwa enzi za 2006-2008
 
Hahah blackberry was the iphone of its era
 
Wewe ndiyo unajaribu kufanya mambo kuwa magumu pasipo sababu za msingi.Mtu kasema in 2000's,hiyo 2007 si inaangukia kwenye hilo fungu la 2000's.Lakini pia unajuaje pengine mdau anaishi zake US so si ajabu akawa ametumia FB huko mwanzoni,maana hapa hatujuani in real life zaidi kukutana katika comments.
 
Acha kabisa,unatamani upigiwe mbele za watu upokee waone una Black Berry [emoji3][emoji3]
Nilikuwa naitamani ila sikuwahi kuimiliki ila kupitia watu walio nayo ilikuwa ni simu ngumu sana kutumia, imekaa kushoto kushoto ki software
 
Nilikuwa naitamani ila sikuwahi kuimiliki ila kupitia watu walio nayo ilikuwa ni simu ngumu sana kutumia, imekaa kushoto kushoto ki software
Ile simu ilikuwa inafaa zaidi kwa matumizi ya ki ofisi ndiyo unaifaidi.Maana ilikuwa rahisi sana sharing ya documents kupitia e mails na unaweza kufungua attachment na ukajibu papo kwa papo.Nakumbuka sisi walizitoa hizo simu chache watu wa Vodacom bure na simu za kawaida kwa wafanyakazi wote kwa deal la kupata mkataba wa kuhudumia kampuni kwa miaka mitatu na wakawatoa Airtel kipindi hicho wanaitwa Zein
 
Huenda labda
 
Bbm ilinipatia demu mitaa ya sinza,siku ya kuonana pale madukani nikajipa zoezi nimuone kwanza kunijua,aisee πŸ˜€ mbona nilisepa kimya kimya!
 
Mkuu mbona una panick hivyo jamaa kasema alitumia 2000's hata leo ni 2000's babu
 
Itakuwa wengi humu hawaelewi maana ya hiyo 2000's
 

Nyeeee nyeeeee nyeeeee nywiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…