Hawa jamaa safari hii sijui wamekula nini wameshindwa kabisa kudhibiti hisia zao.... Maana naona hata watu ambao sikuwategemea wanaropoka chuki za wazi kabisa.... [emoji1787]Mpira ni mchezo wa wazi,2023/2024 haipo mbali
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2]Visit Tanzania
Umeenda nje ya nchi Mara mbili
Simba hajatangaza nchi
Amezurula hapo Kampala na Malawi
Akaenda Morocco
Safari ikaisha
Akarudi bongo kufatila sakata la feitoto
Wasajiri vizuri,habari za kutuletea Takwimu za kabla ya Kristo zishapitwa na wakatiHawa jamaa safari hii sijui wamekula nini wameshindwa kabisa kudhibiti hisia zao.... Maana naona hata watu ambao sikuwategemea wanaropoka chuki za wazi kabisa.... [emoji1787]
Naunga mkono hojaSimba hapa wanapaswa wajiongeze. Wapige chini hiyo sijui 'Visit nini nini sijui'. Mtu unakuwa kama mtoto wa kufikia au wa hiari bhana, unafanya jambo hakuna anaye appreciate, akifanya mtoto wa familia anakuwa appreciated.
Sasa Simba wasipovaa hiyo unataka nani avae? Hebu waache watende mema wasingoje shukraniSimba hapa wanapaswa wajiongeze. Wapige chini hiyo sijui 'Visit nini nini sijui'. Mtu unakuwa kama mtoto wa kufikia au wa hiari bhana, unafanya jambo hakuna anaye appreciate, akifanya mtoto wa familia anakuwa appreciated.
Mbona mna gubu hivyo? Hilo gubu ndilo linalowaponza!KITENDO CHA SIMBA KUWEKA LOGO YA VISIT TANZANIA MBELE YA JEZI NI THAMANI YA
1 BILLION SHILLINGS.
WAMEKATAA MAKAMPUNI WAKAITANGIZA NCHI LKN HAWAKUPONGEZWA
INAUMIZA
Mbona mna gubu hivyo? Hilo gubu ndilo linalowaponza!
Acheni wivu wa kike!Ukikubali kuolewa sharti ulale bila nguo tena huku umepanua miguu mwanuuuuuuu.
Yanga wamepanuaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Feisal aiingize sasa
si mmekula vya Hangaya
Acheni wivu wa kike!
Hahahahahahahaha......! Nimejikuta nacheka kwa sauti badala ya kununa! Haya bwana umeshinda wewe!Yanga wamepanuaaa[emoji23][emoji23]
Huko si mnasema kwa wakubwa wenzenu au umesahauKwani nyie mlifika CAFCL??
Wapongezwe kwa lipi [emoji1780] mkuu kwa kuishia robo fainali kila mwaka yaani kwa ufupi wapongezwe kwa kuchukua kombe la mwakarobo cup?KITENDO CHA SIMBA KUWEKA LOGO YA VISIT TANZANIA MBELE YA JEZI NI THAMANI YA
1 BILLION SHILLINGS.
WAMEKATAA MAKAMPUNI WAKAITANGIZA NCHI LKN HAWAKUPONGEZWA
INAUMIZA
Za WizaraaaaaWanatembelea kwa cost za nani?
Na wakina Boko na Kibudenga?Mwaka tunafika,inshallah
Ataathiri nini labda,mbona Yanga imepata haya mafanikio bila yeye kuwepo?Ukikubali kuolewa sharti ulale bila nguo tena huku umepanua miguu mwanuuuuuuu.
Yanga wamepanuaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Feisal aiingize sasa
si mmekula vya Hangaya