Simba na kuvaa kote Visit Tanzania ila Wizara ya Maliasili na Utalii inawapa ofa Yanga

Simba na kuvaa kote Visit Tanzania ila Wizara ya Maliasili na Utalii inawapa ofa Yanga

Visit Tanzania
Umeenda nje ya nchi Mara mbili
Simba hajatangaza nchi
Amezurula hapo Kampala na Malawi
Akaenda Morocco
Safari ikaisha
Akarudi bongo kufatila sakata la feitoto
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2]
 
Simba hapa wanapaswa wajiongeze. Wapige chini hiyo sijui 'Visit nini nini sijui'. Mtu unakuwa kama mtoto wa kufikia au wa hiari bhana, unafanya jambo hakuna anaye appreciate, akifanya mtoto wa familia anakuwa appreciated.
Sasa Simba wasipovaa hiyo unataka nani avae? Hebu waache watende mema wasingoje shukrani
 
😂😂😂😂😂 sasa kuumia kwann tena wakati hata simba wakifika fainali watapongezwa. Hakuna usawa kweli lakini pambaneni mkifika walipofika yanga msipopewa ofa hizo mlalamike. Hata yanga walikuaga wapole kipindi simba wanatamba mpira wa bongo unanifurahisha sana leo simba analia kesho yanga zamu yake . Tusiopenda mawazo tunabaki neutral kuwaangalia mnavyolia lia
 
Simba ipunguze kujikomba kwa hii serikali pumbavu. Super Cup hakuna kuvaa Visit Tanzania ya kijinga.
 
Back
Top Bottom