kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi?
Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda taji.
Timu zetu zooote kwenye ligi yetu na bara la Afrika zinaiogopa simba kwa uchawi. Simba imewahi kupewa adhabu na CAF kwasababu za kichawi; timu za ligi zinapewa adhabu na TFF/Bodi ya ligi kwasababu ya uchawi wa Simba, zinagoma ama kupitia mlango uliopendekezwa au kugoma kuingia vyumbani. Al-Ahly inalazimika kusafiri na mapipa, vyakula na vinywaji kwenye mechi zake na Simba. Unadhani hawa wooote ni wajinga?
Ndiyo maana haitoboi