Simba na magoli ya bahati na kichawi

Simba na magoli ya bahati na kichawi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi?

Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda taji.

Timu zetu zooote kwenye ligi yetu na bara la Afrika zinaiogopa simba kwa uchawi. Simba imewahi kupewa adhabu na CAF kwasababu za kichawi; timu za ligi zinapewa adhabu na TFF/Bodi ya ligi kwasababu ya uchawi wa Simba, zinagoma ama kupitia mlango uliopendekezwa au kugoma kuingia vyumbani. Al-Ahly inalazimika kusafiri na mapipa, vyakula na vinywaji kwenye mechi zake na Simba. Unadhani hawa wooote ni wajinga?

Ndiyo maana haitoboi
 
Kusema kweli awa jamaa hiyo ndio sanaa waliyobaki nayo,,pale kwa mkapa mechi dhidi ya bravos walikuwa wanatundikwa si chini ya goli 3 lakini wakabahatisha kipenalty cha mazabe mazabe wakapata point 3, sasa cheki goli la Tshabalala kule Algeria ata mwenyewe alishangaa kuona Mpira umeingia kambani akutarajia kabisa maana alijipigia tu krosi ikakatika ikatinga nyavuni,,
 
Halafu ulishangilia mlipoifunga simba 1-0 , kweli Luc hakukosea kuwafananisha na manyani
 
Kusema kweli awa jamaa hiyo ndio sanaa waliyobaki nayo,,pale kwa mkapa mechi dhidi ya bravos walikuwa wanatundikwa si chini ya goli 3 lakini wakabahatisha kipenalty cha mazabe mazabe wakapata point 3, sasa cheki goli la Tshabalala kule Algeria ata mwenyewe alishangaa kuona Mpira umeingia kambani akutarajia kabisa maana alijipigia tu krosi ikakatika ikatinga nyavuni,,
Haya ndio magoli ya ki kurujuani, kimaruhani hata huelewi yanaingia vipi.
 
Nyie ndio mnaofanya Manara aonekane mwenye akili aliposema yanga wenye akili ni wawili pia nyie ndio mlisababisha yule kocha aliyewaota manyani alipwe fidia na Fifa
 
Kusema kweli awa jamaa hiyo ndio sanaa waliyobaki nayo,,pale kwa mkapa mechi dhidi ya bravos walikuwa wanatundikwa si chini ya goli 3 lakini wakabahatisha kipenalty cha mazabe mazabe wakapata point 3, sasa cheki goli la Tshabalala kule Algeria ata mwenyewe alishangaa kuona Mpira umeingia kambani akutarajia kabisa maana alijipigia tu krosi ikakatika ikatinga nyavuni,,
Ninawashangaa hawa jamaa wanapofurahia mateso ya timu ambayo imewafunga mara 4 mfululizo yakiwemo magoli 5.

Ushindi wanaopata hauna maelezo ya aina yoyote zaidi ya bahati na uchawi.
 
Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi?

Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda taji.

Timu zetu zooote kwenye ligi yetu na bara la Afrika zinaiogopa simba kwa uchawi. Simba imewahi kupewa adhabu na CAF kwasababu za kichawi; timu za ligi zinapewa adhabu na TFF/Bodi ya ligi kwasababu ya uchawi wa Simba, zinagoma ama kupitia mlango uliopendekezwa au kugoma kuingia vyumbani. Al-Ahly inalazimika kusafiri na mapipa, vyakula na vinywaji kwenye mechi zake na Simba. Unadhani hawa wooote ni wajinga?

Ndiyo maana haitoboi
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Niliangalia mshike mshike mechi ya Simba vs Prison, Prison walinyimwa penati ya wazi mshambuliaji wao alipigwa buti akienda kufunga akaanguka yule refa mwanamke akapeta, nikasema humu timu hamna na huko kombe la single mothers shirikisho simba hawatoboi!! Simba haishindi kihalali hata mechi moja ni mbeleko FC.

Simba inaboa mno ikicheza NBC premier league wanabebwa mno hadi kutia kichefuchefu. Yani sijui marefa wa bongo wanapewa nini na Simba, hata derby El Sasii alizuia kila safari ya uto hadi wachezaji wa Yanga wakatoka mchezoni. Faulo zote aliwapa Simba na mechi kuharibika kwa mbeleko kwa Simba.

Hii timu ni ya ajabu sana kuwahi kutokea
 
TFF inabariki uchawi wa Simba kwa kuweka adhabu kwa timu zinazokwepa uchawi wa Simba. Simba inachana makapeti ya viwanja vya nyasi bandia ili kuchomeka uchawi wao, simba wanachimbia uchawi kwenye malango ya kuingilia viwanjani, simba wanaweka uchawi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na magolini. Uchawi wa Simba hata jeshi la polisi linaufahamu.
 
Nyie ndio mnaofanya Manara aonekane mwenye akili aliposema yanga wenye akili ni wawili pia nyie ndio mlisababisha yule kocha aliyewaota manyani alipwe fidia na Fifa
Mashabiki wa Utopolo wanahangaika sana timu lao hadi sasa Lina point zero lkn kutwa kuanzisha nyuzi za kuiponda Simba kwa hiyo Beki sio sehemu ya mchezaji uwanjani
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Back
Top Bottom