Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Amekuja kushtaki kwako?Mmemalizanaje na zahera?
Kwaiyo nyie mlikurupuka mkajua tarehe 26 ni mbali mtakua mshadunduliza mumlipe?Amekuja kushtaki kwako?
Zungumzia ya Uchebe,ya Yanga na Zahera yalishapitaKwaiyo nyie mlikurupuka mkajua tarehe 26 ni mbali mtakua mshadunduliza mumlipe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwaiyo nyie mlikurupuka mkajua tarehe 26 ni mbali mtakua mshadunduliza mumlipe?
Hata ya uchebe yamekwisha pita maana tayari kaisha timuliwa ila umeamua ulete hapa tuyajadili.Zungumzia ya Uchebe,ya Yanga na Zahera yalishapita
Club inataka ubingwa wa africa..katoka hatua ya awali kabisa, kwenye ligi keshapoteza point 5Mwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!
Hata ya uchebe yamekwisha pita maana tayari kaisha timuliwa ila umeamua ulete hapa tuyajadili.
Kwa kutilia mkazo ukaona uambatanishe na ishu ya yanga inayohusiana na jambo kama hili la kufukuza kocha ili kuweka uzito wa mada yako
Ndio,mchukueni nyie mnempendaMmemalizanaje na zahera?
Uchebe hataki kamati ya Ulozi ya kumfunga Yanga hapo January. Akajibiwa kuwa ile misimu miwili aliyochukua Ubingwa asidhani kuwa ni mchango wake hela za kuhonga timu pinzani na marefa ndio zimeleta Ubingwa.Mwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!
Wala sina hasira naandika hapa nikiwa na mood ya kucheka kwaiyo ni usndishi tu usifikirie hivyoMtani punguzo hasira, vipi Uchebe kuwafanya nini? Au ndio anawajibika kwa makosa ya viongozi kuwasajili kina Fraga na Wilker
Kile Kiwanja cha MO kule Bunju ambapo baadae akidai gharama zake mkishindwa kulipa anakigeuza kuwa Uwanja wa Cricket?Kwahiyo Uchebe Nyasi bandia kaishia kuziona tu.
Mlipeni madeni yake kwanza, sisi tutamsitiri tu kwa kumpa simba B aendelee kujishikizaNdio,mchukueni nyie mnempenda
Akilimali hadi JF upo??😂Kile Kiwanja cha MO kule Bunju ambapo baadae akidai gharama zake mkishindwa kulipa anakigeuza kuwa Uwanja wa Cricket?
Mume wao yanga akifanya kitu lazima na bi hindu waigeMwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!
Kwa makocha waliohudumu simba miaka ya karibuni bado Uchebe kajitahidi! Na simba hamjawa wakubwa kiasi hicho mnachodanganywa na Manara!Club inataka ubingwa wa africa..katoka hatua ya awali kabisa, kwenye ligi keshapoteza point 5
Hapo sawa, basi wamrudishe Julio na mzee Kibadeni!Uchebe hataki kamati ya Ulozi ya kumfunga Yanga hapo January. Akajibiwa kuwa ile misimu miwili aliyochukua Ubingwa asidhani kuwa ni mchango wake hela za kuhonga timu pinzani na marefa ndio zimeleta Ubingwa.