Simba na Mbeya city zafuata nyayo za Baba yao Yanga

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Klabu ya Simba imemfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems. Uamuzi huo umefikiwa na bodi ya klabu hiyo baada ya kikao chake.Uchebe amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Twitter

Pia,Mbeya city kupitia account zao za social media wameweka barua ya kuachana na Mwambusi.
FB_IMG_1575122356327.jpg
FB_IMG_1575123823728.jpg
 
Zungumzia ya Uchebe,ya Yanga na Zahera yalishapita
Hata ya uchebe yamekwisha pita maana tayari kaisha timuliwa ila umeamua ulete hapa tuyajadili.

Kwa kutilia mkazo ukaona uambatanishe na ishu ya yanga inayohusiana na jambo kama hili la kufukuza kocha ili kuweka uzito wa mada yako
 
Mwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!
Club inataka ubingwa wa africa..katoka hatua ya awali kabisa, kwenye ligi keshapoteza point 5
 
Hata ya uchebe yamekwisha pita maana tayari kaisha timuliwa ila umeamua ulete hapa tuyajadili.

Kwa kutilia mkazo ukaona uambatanishe na ishu ya yanga inayohusiana na jambo kama hili la kufukuza kocha ili kuweka uzito wa mada yako

Mtani punguzo hasira, vipi Uchebe kuwafanya nini? Au ndio anawajibika kwa makosa ya viongozi kuwasajili kina Fraga na Wilker
 
Mwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!
Uchebe hataki kamati ya Ulozi ya kumfunga Yanga hapo January. Akajibiwa kuwa ile misimu miwili aliyochukua Ubingwa asidhani kuwa ni mchango wake hela za kuhonga timu pinzani na marefa ndio zimeleta Ubingwa.
 
Wala sina hasira naandika hapa nikiwa na mood ya kucheka kwaiyo ni usndishi tu usifikirie hivyo

Ila swala la zahera linatakiwa lichukuliwe seriuos, yule sio kichaa achome pesa zake za nauli kutoka ulaya kuja bongo bila malengo yeyote
 
Wanaiga yanga
Mwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!
Mume wao yanga akifanya kitu lazima na bi hindu waige
 
Uchebe hataki kamati ya Ulozi ya kumfunga Yanga hapo January. Akajibiwa kuwa ile misimu miwili aliyochukua Ubingwa asidhani kuwa ni mchango wake hela za kuhonga timu pinzani na marefa ndio zimeleta Ubingwa.
Hapo sawa, basi wamrudishe Julio na mzee Kibadeni!
 
Back
Top Bottom