ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Imekua kawaida sasa simba hii ya sasa yaani msimu huu kuwa na wakati mgumu kuliko pengine wakati wowote ndani ya miaka mitatu iliyopita.
Simba sasa imekua inashindwa kutengeneza chance za kufunga. Mastraika hawafungi, timu imedorora.
Uwezo wa Simba tuliouzoea haupo tena. Simba ya sasa ushindi wake umekua wa mashaka mno.
Ili simba ishinde haitegemei tena uwezo wa mpira ndani ya uwanja bali hutegemea na kuomba itokee penati au red card, au ndio kama hivyo refa awabebe kwa hizi offside. Ule ushindi wa kihalali kama ilivyo kwa jirani zao Yanga haupo kabisa.
Simba jipangeni tumieni pesa fanyeni sajiri za maana.
Nimewasaidia tu mawazo ni mimi shabiki wa Azam FC.