Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii.
Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth kiasi hcho. Chonde chonde tusijifanye vichwa ngumu nawaombeni sana mumrejeshe Benard baada ya gem ndo mumfukuze