Uwanja unaruhusu nyie kuwasha moto usijaliMwanza tunaenda kufa 2-0 .
Huu msimu tukubali tu tumepoteza kila kitu tujipange upya .
Hatuna timu ya uhakika kabisa
Mwaka huu mtatpika nyweleNimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii. Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth kiasi hcho. Chonde chonde tusijifanye vichwa ngumu nawaombeni sana mumrejeshe Benard baada ya gem ndo mumfukuze
Ndo ninyi utopolo mmeshikilia nafas ya piliSimba imezeeka inawezekana tukapigwa na utopolo, maana sio kwa pila hili
Hapa sio uzunguni babu!Huwezi kuwa STAR kumzidi kocha!! Jaribu kwa Sir Alex Furgurson uone kitakachokutokea!! Mpigie David Beckham yaliyomkuta!!
huyu ndiyo bujibuji Simba nyamaume mwenyewe.
huyu ndiyo bujibuji Simba nyamaume mwenyewe na kamba yake.