Simba na wachambuzi wao hovyo sana

Upepo wa Mayele umekata kivipi mkuu?
Balama ni majeruhi,unafahamu hilo
 
Upepo wa Mayele umekata kivipi mkuu?
Balama ni majeruhi,unafahamu hilo
Upepo wa mayele umekata now hatusikii tambo kama ambavyo mlivyokua mnampaisha

Huyo balama najua kua ni majeruhi, nimeuliza yuko wapi kwa lengo la kuwakumbusha kile kipindi ambacho aliifunga simba na mkawa mnamvimbisha
 
Yanga huwa mnaongea sana ya kuwa simba msim huu ni mbovu kwa kuwa mnacheza na mbeya kwanza mnawafunga magor mnaamin kuwa hata simba mtaipiga kizembe matokeo yake mnapelekwa ad referee anaua move za simba for no reason
Huyo mayele ni mzur kwa kwa kuwa huwa hakutani na mabek wenye akil,Inonga ni fundi mayele kutoboa pale afanye kaz..
 
Yanga wamesajili wazee wa msimu mmoja simba tumesajili vijana wa miaka mitano mbele kuna mwaka hapo mbele yanga atakuja kufa tano tena.....
 
watu wa kigoma likianzishwa kombe la dunia la ubishi mtalibeba asubuhi kabsa Hilo kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…