Simba na Yanga acheni kuingiza porojo za siasa michezoni, somo la jana mmeliona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.

Screenshot_2023-11-22-10-33-12-1.png
Screenshot_2023-11-22-10-33-59-1.png
 
Wananchi wako wapi?Nyinyi na vikundi mnaotumia smartphone ambao hata milioni kumi hamfiki mnajipa utanzania sana,bakini na akili yenu ,tunawaangalia Kwa ukaribu na kurukaruka Kwa maharage ndio kuiva kwake.
Kwa Mujibu wa Nape Nnauye watumiaji wa Smartphone Tanzania ni mil 33 , kumbuka kwamba wanachama wa ccm hawazidi mil 8 , endelea kudharau mitandao
 
Watumiaji WA laini za simu sio smartphone,smartphone milioni 30 Kwa taifa lenye watu milioni 60 ,watoto wapo robo ya taifa .
 
Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.

View attachment 2821455View attachment 2821457
Hao wajinga wanatakiwa kuacha huu ujinganwaoa mara moja. Maana siyo kila mdau wa michezo anapenda kuona ujinga kama huo uwanjani.

Wakiendeleza huu ujinga wao, siku za baadaye watasababisha wadau wengi wa michezo kususia timu zao, kutozifuatilia timu zao wanazo shabikia, au kujenga chuki na timu yoyote ile yenye mafungamano na wanasiasa.
 
Umasikini umefanya vijana kutumika hovyo sana
 
Back
Top Bottom