Simba na Yanga kutoa sadaka kila wanapokutana ni sababu hasa?

Simba na Yanga kutoa sadaka kila wanapokutana ni sababu hasa?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Huu utaratibu umeanza miaka ya hivi karibuni, majayanti wawili, Simba na yanga kuwa na utaratibu wa kutoa sadaka pindi tu wanapokutana.

Sadaka ni jambo jema, kwa nini isiwe kwa michezo yote? Wajuzi 👇

Screenshot_20260429-184139.png
 
Back
Top Bottom