Simba na Yanga na propaganda za mabadiliko

Simba na Yanga na propaganda za mabadiliko

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
UCHAGUZI WETU KESHO.

Ila sisi tuna kitambulisho cha shule ya msingi wenzetu wana kadi ya uanachama😳; Hivi kuna Transformation hapa?

Hebu tuwe serious kwenye hizi taasisi zinazogusa Faraha za watu. Ukiwaona majukwaani Kama viongozi vile kumbe ni hopeless kabisa!

Mpaka leo bado usafiri wetu ni Coaster wachezaji wanalazimika kujikunja miguu wakati wa safari sababu siti ni fupi dah!

Hii aibu kubwa sana

4BB39F31-4F6F-4F49-90F9-1C8FC2C255FB.jpeg
 
Simba ni genge la wahuni, kabla hamjapiga kura viongozi wawaoneshe bank statement ya Billion 20 alizolipa Mo Dewji.
 
Kwani kitambulisho ndiyo transformation? Punguza stress na basi hujaliona?
 
Pole Sana... Utopolo..!

Mnaumia kiasi Kikubwa Na Simba..!

Ibenge huko Mkutanoni anaisifia Simba Kuwemo kwenye Super League CAF...!
Mnayo haki Kuumia..!

Hata mie ningekuwa Utopolo ningeumia Sana!
 
Back
Top Bottom