Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanachama wengi wa SIMBA ni waarabu
Simba imeanza kupendwa miaka ya 2000+ yanga ilipendwa sana miaka ya tisini.
...Wana JF nimekuwa nikipata shida kujua kati ya hizi timu kubwa za soka la BONGO yaani SIMBA na YANGA nani anawashabiki wengi hapa Tanzania na other East Africa countries.......? Mwenye data kamili plz tujuzeni!!!
Kumbe we bado bwamdogo sana! Tangu ikiitwa Sunderland na Young african sport we unasema miaka ta tisini na buku mbili!?????
yanga damu... JK ni....
Hii inaweza ikawa imesababishwa na waanzilishi wa timu hizi...maana wana historia wanadai kuwa Simba ilianzishwa na watoto wa mabwanyenye na ikaitwa sunderland kipindi hicho...baada ya watoto wa kiafrika kuona wanatengwa na watoto wa mabwanyenye wakaamua waanzishe timu yao wakaipa jina Dar Young Africans......
Kwa kutaka kupata jibu kirahisi aanzisha thread ili wana JF Wapige kura mkuu utaona idadi ya kura kwa kuanzia Weka wewe kura yako wengine watafuatia mwisho wa siku tutahesabu na kupata twakimu ya wana jamii wote maana hakuna asiye kuwa mpenzi wa timu hizo mbili nchini otherwise labda ukimuliza kuhusu Yanga au Simba akujibu ndio Mmea gani au mboga gani Yanga! Simba wa Mikumi au Serengeti Dr. Slaa Yanga Freema Mbowe Yanga Samwel sitta Simba Sumaye simba Malecela Simba Ali H Mwinyi Yanga Ben mkapa Yanga Lipumba Yanga Sharif hamad Simba Shein Yanga Nyerere na karume walikuwa Yanga wa kutupwa Tuendele ... JK ni