Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Baada ya tu kupangwa Kwa makundi ya CAF CL kuna kitu Cha kushangaza kulitokea katika matandao wa X
Ukiingia katika ukurasa rasimi wa CAF wa mtandao wa X,katika makundi yote yaliyopostiwa,ni makundi mawili tu yanayoshiriki klabu bingwaa Afrika ndiyo yaliyoongoza Kwa kutoa namba kubwa ya online engagements
Makundi hayo ni Kundi B n D
Simba yupo kundi B na huku Yanga akiwa kundi D
Kundi B lina replies 276,retweets 622,likes 5090 na views 183k
Kundi D lina replies 410,retweets 684,likes 4323 na views 205k
Kundi A lina replies 63,retweets 266,likes 1992, na views 90.7k na kundi linaloburuza mkia ni Kundi C ambaye ana:
Kundi C lina replies 30,retweets 111,likes 896 na views 48.8k
Simba na Yanga ndo wanaoisisimua hii michuano,no Simba and Yanga no party
Na kilichobaki tugeuze hizi namba ziwe ndo matokeo ya uwanjani
iwapo mmoja wetu akatoka kabla ya kufika fainali,michuano hii itadoda,
Hata CAF wanajua Hilo,hawataki tutoke,hivyo tupambane wote tufike mbali
It is coming home.