Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Leo 12/07/2020 ni ile mechi inayosubiriwa kwa hamu, mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho, ambapo watani wa jadi wa Kariakoo, Simba Vs Yanga wanakutana katika mechi ngumu ya kumtafuta nani ataingia fainali.
Mimi naamini mechi hii itaisha ndani ya dakika 90, pia naamini kutakuwa na magoli ya kutosha.
Karibu tutatbiri, wachezaji gani leo watafunga magoli katika mechi hii, ili tuone nani ana bahati ya kuotea zaidi.
Mimi naamini kabisa John Bocco na Kahata watafunga leo kwa upande wa Simba wakati Lamine Moro na Kaseke nao watafunga kwa upande wa Yanga.
Karibu ulete ubashiri wako...