007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 483
Fraga .
Chama .
Luis
Chama .
Luis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
underdog alikukojolesha kimojaYanga ni underdog, unabisha?
hawa viumbe mechi za yanga huwa wanapoteaFraga .
Chama .
Luis
Kila siku sio ijumaa mzee...mpira una siku na siku. Huwezi kujua nani atapafom vizuri mechi kama ya leo ,mara nyingi mpira unakuwaga mbovu sana timu hizi zikikutana .hawa viumbe mechi za yanga huwa wanapotea
nambie mechi ipi walionekana
huyu luis mlijaribu mfananisha na BM33 mmeishia kuona aibu tu
Kila siku sio ijumaa mzee...mpira una siku na siku. Huwezi kujua nani atapafom vizuri mechi kama ya leo ,mara nyingi mpira unakuwaga mbovu sana timu hizi zikikutana .
kweli mkuu, leo ndo umejua mpira unadunda kwa miaka 4 hatukuwahi mpiga nyau ila mwaka huu wa 5 tunampiga mwaka mzima.Kila siku sio ijumaa mzee...mpira una siku na siku. Huwezi kujua nani atapafom vizuri mechi kama ya leo ,mara nyingi mpira unakuwaga mbovu sana timu hizi zikikutana .
Tangu aje Simba hajawahi kutufunga kipindi yupo Azam kawahi mara mbili tatu km ikivyo kwenu tu si ndio maana mkamsajili!Usije tu baadae ukakana comment yako kwani John boko amewafunga Nyie Mara ngapi mpaka useme hivyo?
Duh kweli wewe ni utopolounderdog alikukojolesha kimoja
underdog alikurudishia goli 2 ndani ya dk 3
ama ulitaka sema ile doggystyle ya morison mkuu ndo yanga atawapa leo.
Clatous Chota Chama mwamba wa Lusaka.
Simba nguvu moja
Sawa tusubiri dakika 90
Mkuu umemsahau ChamaLuis [emoji460]️
Bocco[emoji460]️
Kagere[emoji460]️
Matokeo ni 3-0
Mkuu umemsahau Chama
Chama, boko na kahata.Leo 12/07/2020 ni ile mechi inayosubiriwa kwa hamu, mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho, ambapo watani wa jadi wa Kariakoo, Simba Vs Yanga wanakutana katika mechi ngumu ya kumtafuta nani ataingia fainali.
Mimi naamini mechi hii itaisha ndani ya dakika 90, pia naamini kutakuwa na magoli ya kutosha.
Karibu tutatbiri, wachezaji gani leo watafunga magoli katika mechi hii, ili tuone nani ana bahati ya kuotea zaidi.
Mimi naamini kabisa John Bocco na Kahata watafunga leo kwa upande wa Simba wakati Lamine Moro na Kaseke nao watafunga kwa upande wa Yanga.
Karibu ulete ubashiri wako...
View attachment 1504253