Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fraga .
Chama .
Luis
Ushafuta kauli? au unasubiri mechi iishe?hawa viumbe mechi za yanga huwa wanapotea
nambie mechi ipi walionekana
huyu luis mlijaribu mfananisha na BM33 mmeishia kuona aibu tu
iyo kauli inadumu milele huyu luis anahangaika kujionesha anafanana na morison ila bado anapwayaUshafuta kauli? au unasubiri mechi iishe?
Anajua ila anacheza sana na jukwaa nahiyo haiipi faida timu Mwalimu inabidi aongee nae ataikosti timuiyo kauli inadumu milele huyu luis anahangaika kujionesha anafanana na morison ila bado anapwaya
Kadi ya Juma Abdul na Lamine Moro kasababisha nani? Goli kafunga nani na assist katoa nani? futa kauli bhana kuwa mstaarabu.iyo kauli inadumu milele huyu luis anahangaika kujionesha anafanana na morison ila bado anapwaya
Kwa Simba wanaoweza wakawa kwenye ubao wa matokeo ni;
Meddie Kagere
Zimbwe Jr
Miqquisonne
Kwa Yanga wanaoweza wakafunga ni;
Kaseke
Fei toto
Yondani
Duuuh uchawi upo. Mkuu ulibet?Fraga .
Chama .
Luis
Kwa Simba wanaoweza wakawa kwenye ubao wa matokeo ni;
Meddie Kagere
Zimbwe Jr
Miqquisonne
Kwa Yanga wanaoweza wakafunga ni;
Kaseke
Fei toto
Yondani
Umekaribia.Mkude, luis, bocco, chama 4-0
Dah wamechafua hao utopoloUmekaribia.
Utabiri mzuri sana huu.Fraga .
Chama .
Luis
Chama amefanya yoteChama ataassit
Umepatia kabisaUtabiri mzuri sana huu.