Simba na Yanga: Tabiri mchezaji yoyote unayehisi atafunga Goli leo

Simba na Yanga: Tabiri mchezaji yoyote unayehisi atafunga Goli leo

FT: Mpira utakwisha kwa sare, kwenye penati nawapa simba a.k.a Mikia
 
hawa viumbe mechi za yanga huwa wanapotea

nambie mechi ipi walionekana

huyu luis mlijaribu mfananisha na BM33 mmeishia kuona aibu tu
Ushafuta kauli? au unasubiri mechi iishe?
 
iyo kauli inadumu milele huyu luis anahangaika kujionesha anafanana na morison ila bado anapwaya
Kadi ya Juma Abdul na Lamine Moro kasababisha nani? Goli kafunga nani na assist katoa nani? futa kauli bhana kuwa mstaarabu.
 
Wadhamini kidogo
IMG_3044.JPG
 
Back
Top Bottom