Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
mtasoma na kujikuta mmetengua dawa zenu mpigwe kama nyau mwiziwanasimba ambao ni waislam wasiache kusoma suratul iklas mara 3,itasaidia kushindana na mambo ya kishirikina
Shadeeya
kwamba watajifunga amaLuis [emoji460]️
Bocco[emoji460]️
Kagere[emoji460]️
Matokeo ni 3-0
kwamba watajifunga ama
maana nyau hana uwezo huo
unamjua
-erick kabamba
-morison
-ngassa
-kasseke
-sibomana
-lamine
leo unakufa 2-0 goli la kaseke na morison
kwisha habari yenu hili garasa litingishe nyavu ya metacha hahahaha haiwezekeni mkuu kagere ndo kwisha habari yake tangu apokonywe hirizi mambo yanaenda ndivyo sivyoJohn boko anaweka kambani🎷
kweli mkuu hatuna timu ila tunakikosi kazi akikukosa kaseke basi duma anakukaangaMkuu nye hamna timu ni genge la wahuni,leo msipigane tu uwanjani
kuna uyoga ukikanyaga akili inapotea unajikuta unaenda kusiko julikanaMkude, luis, bocco, chama 4-0
Usije tu baadae ukakana comment yako kwani John boko amewafunga Nyie Mara ngapi mpaka useme hivyo?kwisha habari yenu hili garasa litingishe nyavu ya metacha hahahaha haiwezekeni mkuu kagere ndo kwisha habari yake tangu apokonywe hirizi mambo yanaenda ndivyo sivyo
mkuu uache utani kwenye mambo ya msingi hili garasa lina mechi 8 halizijui nyavu leo mbele ya mabingwa wa kihistoria ndo ulitegemee utakufa kwa kihoroNawashauri utopolo waandae lub ya kutosha mana MK14 lazima awasugue na show watafurahia tu! 😂
Umemsahau na yikpeee akeee😂kwamba watajifunga ama
maana nyau hana uwezo huo
unamjua
-erick kabamba
-morison
-ngassa
-kasseke
-sibomana
-lamine
leo unakufa 2-0 goli la kaseke na morison
mkuu pale hamna mchezaji,kuna mburudishaji kama kagere kwa nyauUmemsahau na yikpeee akeee😂
Yanga ni underdog, unabisha?kuna uyoga ukikanyaga akili inapotea unajikuta unaenda kusiko julikana
naomba niseme wazi, umekanyaga uyoga. huna timu hata ya kugongesha mwamba mkuu leo unakufa 2-0