SIMBA NA YANGA TURUDI TUMALIZIE RATIBA WAPENDWA ALL D BEST

SIMBA NA YANGA TURUDI TUMALIZIE RATIBA WAPENDWA ALL D BEST

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
AHSANTEN KWA KUTUNYOOSHA

MMEJUA KUTUNYONGOROSHAAA

AZAAAWAISIII. TURUDN TUJE KUKAMILISHA RATIBAAAAA

ALWAYS NXTYM

NEVER GV UP
 
Yamekuwa hayo tena kaka? Kwahiyo threads zako za kuinanga Simba hatutaziona tena? 😂🤣
 
AHSANTEN KWA KUTUNYOOSHA

MMEJUA KUTUNYONGOROSHAAA

AZAAAWAISIII. TURUDN TUJE KUKAMILISHA RATIBAAAAA

ALWAYS NXTYM

NEVER GV UP
Kwa yanga haijaisha mpaka iishe! Maamuzi yatatoka mechi ya mwisho! Huwezi kujua, FAR Rabat anaweza kujikuta analambwa 5 na Yanga huku akashinda! simba yeye arudi tu!
 
Wana Lunyasi tulishajiandaa psychologically sema wazee wa Anga a.k.a Bata Mzinga sijuii wanasemaje?
 
Hapa wananchi tunahitaji kudanganywa danganywa dizaini ya Ahmed Ally. Yule jamaa anajua kutia moyo.
 
🤣🤣🤣.walikuwa wanatamba.
Timu Yako ina point ngapi.kipo wapi.
Mwamba hesabu zinagoma
 

Attachments

  • FB_IMG_1770581333475.jpg
    FB_IMG_1770581333475.jpg
    78.7 KB · Views: 32
Tanzania ni nchi ya siasa tu na propaganda hamna lolote mpira hawauwezi. Hivyo vilabu vya kisiasa virudi tu vicheze kwenye ligi yao ya mchangani.
 
Yanga na Simba watamaliza wa mwisho kwenye makundi yao wakiwa na point sawa, 5.
 
Back
Top Bottom