Simba na Yanga warudiane

Simba na Yanga warudiane

Nimeamini Yanga waoga sana.

Kwa fomu hii kamwe hawatakubali turudiane.
 
Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga.

Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
Upuuzi wa timu lenu bovu kutolewa na Mashujaa kombe la FA. Tungekutana tuwape kichapo kingine, timu iongeze Bango
 
Back
Top Bottom