Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Hakuna haja ya kurudiana kwa ajili ya kikombe kimoja tu ambacho kimeshabebwa na YANGA; nimetoa vikombe vya kutosha wachezaji wote wa Simba, kila mmoja apacte chakeNaishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga.
Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.