Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 May 16, 2024 #41 Stroke said: Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo. Click to expand... Hakuna haja ya kurudiana kwa ajili ya kikombe kimoja tu ambacho kimeshabebwa na YANGA; nimetoa vikombe vya kutosha wachezaji wote wa Simba, kila mmoja apacte chake
Stroke said: Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo. Click to expand... Hakuna haja ya kurudiana kwa ajili ya kikombe kimoja tu ambacho kimeshabebwa na YANGA; nimetoa vikombe vya kutosha wachezaji wote wa Simba, kila mmoja apacte chake