Simba na Yanga watalipa kisasi kimataifa wikendi hii?

Simba na Yanga watalipa kisasi kimataifa wikendi hii?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Simba atamkaribisha Horoya Jumamosi hii pale kwa Mkapa huku Yanga atamkaribisha Monastir siku ya Jumapili!

Ikumbukwe Simba alichapwa bao 1-0 na Horoya ugenini na Yanga alilazwa bao 2-0 na Monastir ugenini!

Wale wazee wa mikeka ya Sokabet, Nipeni muongozo maana nataka nipige zangu pesa tu, ushabiki naweka pembeni sitaki stress mie!😂😂
 
Hizo game zote usitoe direct weka Simba juu ya 0.5,Yanga 1.5 vipindi vyote pesa yako itakuwa salama utakuja kunishukuru.
 
Sijui kama mbumbumbu atachomoa kwa aina ya wachezaji ilionao,kwa wananchi ushindi haukwepeki
 
Kila La Heri Simba Na Yanga Tupite Tuongeze Idadi Ya Team Zetu
 
Back
Top Bottom