Simba na Yanga wawaombe radhi Wazanzibari

Mashindano yaendane na hadhi ya wachezaji.
 
Mashindano na sherehe za mapinduzi cup yamedoda kutokana na Simba na Yanga kutolewa kwenye hatua za awali za mashindano. Wanasiasa, wanamichezo, wadhamini na wazanzibar wote hawakutendewa haki na Simba na Yanga kupeleka timu dhaifu kwenye mashindano.

Shamrashamra hazitauwepo kamà nusu fainali na fainali hakuna Simba na Yanga, Simba au Yanga.

Viongozi wa hivi vilabu vya Simba na Yanga wahojiwe na wapewe adhabu kwa kuyadharau mashindano.
Ni upumbavu mkubwa kupeleka wachezaji muhimu kwenye kombe la milioni 15 halafu wanavunjwa miguu wanakosa michuano muhimu.

Binafsi niliona mwaka jana ujinga huo.
Utopolo kama kawaida yao wakalipa watu wawaumize wachezaji wa Simba kwenye michuano hiyo ili wao wapete kwenye ligi.
Kibaya zaidi walitaka Simba iharibu pia kimataifa.

Nawashukuru viongozi wa Simba kuona hilo.Ni mashindano ya kuoneshana undava undava tu.Waamuzi hawatoi kadi nadhani wana maelekezo.Kwa nini upeleke kikosi muhimu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar washabikie timu za nchini kwao
 
Wao walimwomba nani RADHI pale walipokataa shindano la Mandonga lisifanyike Zanzibar?
 
Yaani bora simba na Yanga walivyotoka hata Azam nae angetoka tu mapema na lingepoa hilo

Azam ni timu ya Wazanzibar iliyopo bara, hawawezi hujumu mashindano yao...

Pia ni nafasi pekee kwa wao kunyanyua kwapa mwaka huu...
 
Yule Masingisa Mbatta aliondoka Yanga na malalamiko ya timu kuendeshwa kisiasa zaidi kuliko ki professional. Timu inakwendaje kwenye mashindano yanayowatia hasara? Yanayominya muda wa maandalizi ya mashindano mengine? Yanayozalisha majeruhi? Yanayokula muda wa kwenda preseason?

Kosa lao ni kukubali kushiriki halafu hawaendi kushiriki bali kuhudhuria.
Umekiri sasa hapo utopoloni janja janja ni kubwa kuliko uhalisia wazee wafree agent?
 
Kombe la kisiasa linaendeshwa kihujuma hata ukituzama baadhi ya mechi mfano

Namungo na aigle noir yaani namungo alibebwa sana na ndio maana linakosa wageni hilo kombe

Tuzo za wachezaji nyingi anapewa Mzanzibari

Refa anabeba baadhi ya timu

Timu za Zanzibar wanacheza rafu sana mfano kmkm na singida big stars yaani mchezaji unamvuta mwenzako hadi unachana jezi na hakuna kadi wala nini

Sasa nani apeleke kikosi chake akaumiziwe wachezaji wake

Kombe lenyewe halina thamani

Yaani bora simba na Yanga walivyotoka hata Azam nae angetoka tu mapema na lingepoa hilo [emoji3]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kumbe walo urojo nao wakorofiii
 
Ni upumbavu mkubwa kupeleka wachezaji muhimu kwenye kombe la milioni 15 halafu wanavunjwa miguu wanakosa michuano muhimu.

Binafsi niliona mwaka jana ujinga huo.
Utopolo kama kawaida yao wakalipa watu wawaumize wachezaji wa Simba kwenye michuano hiyo ili wao wapete kwenye ligi.
Kibaya zaidi walitaka Simba iharibu pia kimataifa.

Nawashukuru viongozi wa Simba kuona hilo.Ni mashindano ya kuoneshana undava undava tu.Waamuzi hawatoi kadi nadhani wana maelekezo.Kwa nini upeleke kikosi muhimu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Simba hawakuwa na wataalamu viungo,wako legelege
 
Mashindano na sherehe za mapinduzi cup yamedoda kutokana na Simba na Yanga kutolewa kwenye hatua za awali za mashindano. Wanasiasa, wanamichezo, wadhamini na wazanzibar wote hawakutendewa haki na Simba na Yanga kupeleka timu dhaifu kwenye mashindano.

Shamrashamra hazitauwepo kamà nusu fainali na fainali hakuna Simba na Yanga, Simba au Yanga.

Viongozi wa hivi vilabu vya Simba na Yanga wahojiwe na wapewe adhabu kwa kuyadharau mashindano.
Zama za kufanya kazi kupata sifa au heshima zimeshapitwa na wakati sasa hivi inaangaliwa pesa ndo maana haishangazi maprofesa kuacha kufundisha na kuingia kwenye siasa na kufanya mambo ya aibu, haishangazi mbappe kuichomolea real madrid kwa sababu ya pesa za waarabu kwa taarifa yako mwijaku ni msomi wa chuo kikuu lakini kaweka taaluma na heshima yake pembeni kaspecialize kwenye uchawa na anapiga pesa ndefu ambayo asingeipata kama angefocus na taaluma au heshima yake.. yaongezeeni thamani hayo mashindano yenu wekeni mzigo mrefu kwa washiriki yatangazeni yafahamike nje ya mipaka vinginevyo hakuna timu kubwa italeta silaha zake kamili ikijua kuna mashindano ya muhimu zaidi mbeleni
 
Upumbavu wa mashabiki kuzigeuza Simba na Yanga kuwa zaidi ya imani za dini, umepelekea timu hizo kufanya zinachokutaka
Iyo inatokea popote pale lazima kuwe na top elite wawili kwenye dini kuna Mungu vs Shetani, bongo simba vs yanga, mziki kiba vs diamond kwenye soka kwa miaka mingi kulikua na ronaldo na messi zama zao zikiisha utaibuka ushindani mwingine may be mbappe vs halaand.. simba na yanga kama timu ambazo ni top elite ya soka zina haki ya kuangalia kipi kina faida kwao kwaiyo waelekeze nguvu uko na kipi hakina faida wakipotezee
 
Yule Masingisa Mbatta aliondoka Yanga na malalamiko ya timu kuendeshwa kisiasa zaidi kuliko ki professional. Timu inakwendaje kwenye mashindano yanayowatia hasara? Yanayominya muda wa maandalizi ya mashindano mengine? Yanayozalisha majeruhi? Yanayokula muda wa kwenda preseason?

Kosa lao ni kukubali kushiriki halafu hawaendi kushiriki bali kuhudhuria.
Yeye kama CEO wa timu jukumu lake lilikua ndo kuibadilisha taasisi kutoka uelekeo wa kisiasa kwenda kiproffesional ndio kazi ambayo aliajiriwa aifanye sasa anamlalamikia nani alitakiwa kuibadilisha iyo hali akiwa ofisini kusema huku nje inakua ndo yale yale ya kinyongo cha mwanamke alieachika ohoo mtu mwenyewe ulikua haunifikishi na blah blah zingine kibao.. hata uko nje uwezi kuona timu inapelekea vikosi vyao vya kwanza kwenye carabao au cop del rey wakijua kuna mashindano ya muhimu mbele yao
 
Si bora wao wana hata hayo mashindano , Sherehe ya Uhuru wa Tanganyiika ilizikwa hata bila kufa
Bila sherehe siku ya uhuru haitambuliki..? Sherehe ya nini haswa juu ya huo uhuru? Kuna nini kipya zaidi ya kupoteza fedha?
 
Fifa wanawaangalia hizi timu kushiriki mashindano ya kisiasa hivi kwann
 
Back
Top Bottom