Simba na Yanga zijifunze kwa Azam

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za muda huu ndugu zangu,

Nmekuja hapa mbele zenu kama shabiki lia lia wa Azam FC. Hii timu naipenda, inaongozwa kisomi sana, na haina uswahili wa kijinga japo kidogo imeegemea kwenye udini sababu wafanyakazi wengi ni.... .

Tuje kwenye mada, naomba Simba na Yanga zijifunze utamaduni wa Azam kutotegemea makusanyo ya getini. Sasa hivi Azam wamekuja na mbinu, ukiwa na jezi tu unaingia uwanjani bure kabisa.

Najua ata mashabiki wa Simba na Yanga watanunua kujionea soka safi, nani asiyependa kumuona Kipre Jr?

Lazima mtanunua jezi, mtakuja Chamanzi na kidogo mtakuwa 'Azam fans by assimilation'.

Acheni kutegemea makusanyo ya getini Simba na Yanga, siku moja moja tumieni ubunifu wa Azam, mwenye jezi aingie bure.

Yaani washabiki kuingia bule uwanjani ndio unaita ubunifu... Azam ni vilaza kama vilaza wengine tu
Wewe ndo kilaza huoni anachokivutia indirect watu wanunue jersey
 
Yanga na Simba hawawezi kujifunza Kwa timu ambayo haina hata mashabiki 100.......wao wanafanya hivyo kwasababu wanapambana kupata watu na kama Azam wanacheza bila hizo offers hawawezi kupata mashabiki
 
Kwa hiyo we umeona hilo la kuingiza watu bule uwanjani ndo la kujifunza!! Hao azam hawana mashabiki ndo mana,, lakini laiti kama wangekuwa na mashabiki wengi kama simba sports club wawakilishi wa kweli wa kimataifa nchi hii wasingefanya hivyo.
 
Jengeni ata viwanja basi mchangishe mashabiki mbona mnatia aibu sana
 
Kwa hiyo we umeona hilo la kuingiza watu bule uwanjani ndo la kujifunza!! Hao azam hawana mashabiki ndo mana,, lakini laiti kama wangekuwa na mashabiki wengi kama simba sports club wawakilishi wa kweli wa kimataifa nchi hii wasingefanya hivyo.
Mnamashabiki wengi mmeshindwa kuchangishana ata mnunue viwanja
 
Mnamashabiki wengi mmeshindwa kuchangishana ata mnunue viwanja
Ac milan, international milan, kaizer chief zina mashabiki wengi lakini hazina uwanja na hata mihogo fc pia ina mashabiki wengi japo wote hamnazo wenye akili ni wawili tu lakini nayo pia haina uwanja.
 
Gate collection ni moja ya chanzo kokubwa cha mapato katika club. Azam kama wanafanya free basi mmiliki anajua jinsi ya kufidia, hii sio ya kuiga
 
Hivi unajua gharama ya kuwaona arsenal pale emirates ni kiasi gani ?
msipende kuonesha ujinga wenu
Lakini team kubwa hazitegemei gate collections
 
Ac milan, international milan, kaizer chief zina mashabiki wengi lakini hazina uwanja na hata mihogo fc pia ina mashabiki wengi japo wote hamnazo wenye akili ni wawili tu lakini nayo pia haina uwanja.
Usijifunze kwa walioshindwa infact zenye uwanja ni nyingi kuliko ambazo hazina acha kutafuta illogical justifications on serious things
 
Gate collection ni moja ya chanzo kokubwa cha mapato katika club. Azam kama wanafanya free basi mmiliki anajua jinsi ya kufidia, hii sio ya kuiga
Hakuna huo ni uongo mtupu
 
Lakini team kubwa hazitegemei gate collections
kufanya bure kuingia kuangalia mpira hata watu wasio na interest ya kuangalia mpira watakuja kama sehemu ya kupoteza muda na kujaza vibaka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…