Simba na Yanga zilianzishwa na mzungu, klabu zetu tulizojenga ziko wapi?

Leo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko kwani hakuna timu, kwa nini usitoe sapoti yako kwa timu yako ya nyumbani uliko? Hata mnaelewa maana ya football club kwanza?
Kwani simba na yanga ziko ulaya ama hapa tanzania?
Ni vilabu vya tanzania.
Hata kama vingeanzishwa na malaika kutoka mbinguni.

Hakuna mtu analazimishwa kushabikia team yake ya nyumbani. Ni uamuzi wa mtu binafsi. So kila myu ana uhuru wa kushabikia team anayoitaka.

Pili vilab vingi vya chini havina uwekezaji. Hakuna tajiri anawekeza kwenye team isiyomletea faida. Ndio maana wawekazaji wakubwa wanaanhalia simba na yangu au hata azam sababu zina mashabiki wengi. Na ndio zinaingiza faida kubwa.
 
Ndio maana nikasema hamuelewi maana ya football club, kama unakuwa mwanachama wa timu kwa sababu ya utajiri wa timu basi hata football game yenyewe hauilewi pia achilia mbali hata maana ya uanachama, ...
 
Back
Top Bottom